Izzo Bizness - Mr. Christmass
Katika mishemishe za krismas, Mkali Izzo Bizness 'Izzo B' ameamua kuachia ngoma kama zawadi kwa fans wake kipindi hiki cha krismass.Ameiita ngoma hiyo Mr Xmass. Safi sana Izzo.
Isikilize kwa kubofya HAPA
Pia waweza icheki Video yake hapa

0 comments :
Post a Comment