Breaking News
Loading...
Saturday, December 20, 2014

Ex-Boyfriend wa Nicki Minaj aongelea kujiua kwa kutengana na Nicki Minaj

Ex-Boyfriend wa Nicki Minaj, Saree Samuels apata wakati mgumu kila akifikiria kutengana kwake na mdada huyo. Mchizi amefikia hatua ya kufikiria kujiua kwa kumkosa Nicki ambaye amekuwa na mahusiano nae kwa takriban miaka 12.
Kwa mujibu wa TMZ Saree amekuwa akishinda mchana na usiku akivuta bangi huku akiongea wazi wazi kuwa anatamani kujiua kwa kumkosa Nicki.
Mbaya zaidi mchizi amefikia hatua ya kumtuhumu Meek Mill kuwa ndo anatoka na Bi. dada Nicki Minaj.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top