Breaking News
Loading...
Thursday, December 18, 2014

Young Killer Feat. Fid Q- 13 (Official Video)

Ni bonge ya ngoma na ni bonge la kichupa, video imefanywa na Mkali Nisher, na ameonesha ubora wake. Fid Q ni moja kati ya ma legendary wa bongo Hip hop ambao kwa upande wangu naona kama ame wapa kick za kutosha wasanii wapya wa muziki wa Hip hop.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top