Diamond na Zari sasa mambo hadharani, cheki mapicha wakijiachia..
Kwa Lugha rahisi naweza kusema kuwa Dada yetu Wema hana chake tena kwa Mkali Diamond kwani tayari Bi dada Zari keshajiweka na kuchanua vilivyo kwa mkali huyu wa bongo flavour.Zari 'The Bosslady' Tlale juzi kati katika party yake ya 'Zari All White', ameamua kuonesha wazi kuwa kwasasa yupo na Diamond Platinumz kwa kujiachia mbaya na mkali 'shemeji wetu wa zamani'.
Jionee mapicha yao wakiwa wamejiachia kimpango wao.




0 comments :
Post a Comment