Video ya 3 Chafu yamuweka pazuri Professor Jay!
The legendary wa bongo flavour, Joseph Haule a.k.a Professor Jay, wa mitulinga, The heavy weight MC, mti mkavu n.k ameonekana kufanya vizuri kwenye chati mbalimbali za vituo vya runinga na redio kupitia ngoma yake mpya aliyoitoa hivi karibuni ya 3 chafu.
Kimsingi ngoma ni kali, lakini kilichoiongezea kick zaidi ni video yake ambayo imepigwa vizuri na ubora mzuri.

0 comments :
Post a Comment