Home Unlabelled Alikiba- Mwana 'Official Video' Alikiba- Mwana 'Official Video' Ali Kiba amerudi upya, wimbo wake wa mwana ndo unamuweka pazuri kwa ujio huu. Hii ni official video ya wimbo wa Mwana. kwa mtazamo wangu sio mbaya, shots nzuri, rangi nzuri, lakini stori na location sijapenda sana. All in all kazi nzuri.
0 comments :
Post a Comment