Breaking News
Loading...
Thursday, December 18, 2014

RIHANNA APATA DILI NA KAMPUNI YA PUMA

Rihanna a.k.a Riri Juzi kati amepata dili la maana na kampuni kubwa ya vifaa vya michezo ya Puma ya kuwa balozi wa Puma.

Pia Riri kapewa shavu la kuwa mmoja kati ya timu ya designers wa kampuni hiyo.
Katika kuthibitisha hilo  bi dada Riri ametupia picha kadhaa katika mtandao wa Instagram akiwa ndani ya gear za Puma.
imekaa poa kwa mdada Riri coz ataufunga mwaka vizuri.


Newer Post
Previous
This is the last post.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top