Home
Unlabelled
Nicki Minaj Atoa Movie clip ya albam yake ya 'The Pinkprint'
Nicki Minaj Atoa Movie clip ya albam yake ya 'The Pinkprint'
Katika kuitangaza albamu yake mpya, mwanadada Nicki Minaj ameamua kutoa movie clip ambayo ameiita jina la albam yake 'The Pinkprint'. Ni clip ya dakika 16, waweza jionea hapo juu. The Pinkprint ni albam ambayo imesheheni kazi nzuri zikiwemo Pillz n Portion na Anaconda. Enjoy!
0 comments :
Post a Comment