BOBBY BROWN AKATAA USHAURI WA MADAKTARI. ASEMA UHAI WA MWANAE UPO CHINI YA MUNGU
Mkali Bobby Brown amekataa wazo la madaktari wanao mtibu mwanae Bobbi Kristina la kumtolea mitambo ya kumsaidia kupumua.Hatua hiyo ilikuja baada ya madaktari kushauri kuwa ni vyema kumtolea hizo mashine tu kwani hakuna matumaini ya kupona. Lakini Baba, Bobby Brown amesema kuwa hawezi kuruhusu kutolewa hizo mashine, amedai kuwa uhai wa mwanae unamtegemea mungu.
Kimsingi Bobbi yupo kwenye hard time na anahitaji support kubwa kwa sasa.

0 comments :
Post a Comment